Testo della canzone: Jambo Bwana

Swahili

Jambo Bwana

Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.

Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.

Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.

Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.

Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata.

Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)

Postato da Pulp Fiction il Gio, 06/03/2014 - 13:31

Video

Vedi il video
Translations of "Jambo Bwana"
Per favore aiutaci a tradurre "Jambo Bwana"
Commenti
Knee427     marzo 6th, 2014

In what language is this song written?

Pulp Fiction     marzo 6th, 2014

Swahili, i fixed it ... than you Wink