Nandy - Kivuruge

Суахили

Kivuruge

Ulienipa maumivu me kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh oho ulie nipa maumivu me kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge, hmm
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
 
Leo sina thamani ndo maana
Unawafata milupo oh baba
Leo sina thamani eeeh ndo maana
Unawafata milupo oh baba, we niache
 
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (aaah ooh)
 
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuretea ausemi asante
Tena na share hata bila kujua wewe uridhiki kwa nini
Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
Kwangu moyo we unauchanganya a
Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba we
Kitugani kwako mi sijafanya, eeeh
Ama kuna mtu mnapendana sana
 
Leo sina thamani ndo maana
Unawafata ma sister duu ooh baba
Leo sina thamani eeh ndo maana
Unawafata ma sister duu ooh baba, we niache
 
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona kidogo kidogo)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona mimi)
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Aiyoyoiyoooh
 
Пуснато от ulissescoroa в Втр, 19/12/2017 - 18:18
Благодаря!получил/а 15 благодарности

 

Моля, помогнете "Kivuruge" да бъде преведена
Коментари