Kusah - Sakata

  • শিল্পী: Kusah
Advertisements
Swahili
A A

Sakata

Kamata, shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata, kabumbu lisakate...
 
Aya kiti kapandisha maruhani
Aya kiti anataka chumba cha uwani
 
Athumani naye kasimama dede
Ana midadi anataka akubebe
Ulivyotuna na ulivyojaza debee
Udenda wamtoka yaani kawa bwege
 
Aya kamata, shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata, kabumbu lisakate
Kama kachafu kasafishe katakate
 
Ayaa sakata, sakata sakata beiby
Waonyeshe ulivyofundwa eeeh
Sakata, sakata sakata
Ayaa waonyeshe
 
Rhumba sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, sakata, sakata
 
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata, sakata
 
Yaani yeroo yeroo
Subai, masai, pandisha mori
Ndani kero kero
Msuva katupia goli
 
Leo mpaka kokorikoo
Mi mwenyewe pompolipoo
Mama katoka na mwiko
Mwali kakimbia jiko
 
Nanesa ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Yaani ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
 
Aya kamata shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata kabumbu lisakate
Kama kachafu kasafishe katakate
 
Ayaa sakata, sakata sakata beiby
Waonyeshe ulivyofundwa eeeh
Sakata, sakata sakata
Ayaa waonyeshe
 
Rhumba sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, sakata, sakata
 
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata, sakata
 
Nanesa ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Yaani ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
 
ulissescoroaulissescoroa দ্বারা বৃহস্পতি, 10/10/2019 - 01:10 তারিখ সাবমিটার করা হয়
ধন্যবাদ!

 

Advertisements
ভিডিও
মন্তব্যসমূহ