Advertisements

Diamond Platnumz - Baba Lao

  • Artist: Diamond Platnumz ( Abdul Nasser Mohamed Hirsi)
Swahili
A A

Baba Lao

It's S2kizzy baby
Ayolizer
 
Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Makonda baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao
 
Ngoma kwa ngoma ni kopo kopo
Leo ndani twakesha popo
We utasambazia moko moko
Moja baridi moja moto
 
Mmechoka eti? (aaah wapi)
Mnataka lala? (aaah wapi)
Tungi limezidi? (aaah wapi)
Tuzime muziki? (aaah wapi)
 
Sasa twende kisa mjini sambamba
Hapo vipi inabamba
Inogile inatamba
Basi chanika msamba eeh
 
Wataweza kweli? (aaah wapi)
Kushindana nasi (aaah wapi)
Hata wakiungana (aaah wapi)
Matusi kututukana (aaah wapi)
 
Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Mwakiembe baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao
 
Majib Selema
Hadija Selema (Selema)
Mwambie nyangema
Ni shimo ametema (ametema)
 
Amefosi bifu mseleleko
Eeeh tumemkwepa
Amebaki masononeko
Eeeh wanamcheka
 
Kwanza kunja gaju (eeh kunja gaju)
Kisha vua shati (eeh vua shati)
Cheza kama monkey aiii
Vunja ukidaki danki
 
Eeh tumewachapa (Kidude)
Hakichomoki (Kidude)
Kimewanasa (Kidude)
Wanatapatapa (Kidude)
 
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
 
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
Chizi karogwa tena
Chizi chizi karogwa tena eeh
 
Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Majaliwa baba lao (baba lao)
Wasafi chama lao
 
Shuka ukipanda
Na hili shati navua (acha uongo)
Shuka ukipanda
Na hili bukta navua (acha uongo)
 
Jamani navua (acha uongo)
Mama navua (acha uongo)
Mwenzenu navua (acha uongo)
Eeeh kuna BASATA!
 
Basi napiga Yope (huwezi)
Oooh napiga Yope (huwezi)
Yogo napiga Yope (huwezi)
Mimi napiga Yope (huwezi)
 
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!
Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh
Eeeh!
 
Tale napiga Yope (huwezi)
Mi napiga Yope (huwezi)
Momo napiga Yope (huwezi)
Fumbwe napiga Yope (huwezi)
 
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!
Eeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh
Eeeh!
 
Submitted by ulissescoroaulissescoroa on Fri, 08/11/2019 - 14:57
Thanks!

 

Advertisements
Video
Diamond Platnumz: Top 3
Comments
Advertisements
Read about music throughout history