Advertisements

Diamond Platnumz - Mdogomdogo

  • Artist: Diamond Platnumz ( Abdul Nasser Mohamed Hirsi)
Swahili
A A

Mdogomdogo

Nimetembea tembea Bara na visiwani
Ila nikajionea we ndio my Number One
Natamani nikupe ila sina
Nimejaliwa upendo heshima
 
Maneno yao matamu yasikuibe mama
Si unajua binadamu wabaya sana
Wanawivu hao, wachonganishi hao
Wanawivu hao, wachonganishi hao
 
Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukanielemea
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
 
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!
 
Kidogo nikileta Mumypti usinune
Nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee
 
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga
Ukaanza safari mchana jua kali
Usiku haulali ayaah!
Ukaanza safari mchana jua kali
Usiku haulali ayaah!
 
Wanawivu hao, wachonganishi hao
Wanawivu hao, wachonganishi hao
Ukaanza safari, mchana juakali
Usiku haulali aah yaya!
 
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje!
 
Mdogomdogo
Mdogomdogo (Usijali mama)
Mdogomdogo (We wacha waongee)
Mdogomdogo (Usiku na mchana)
Mdogomdogo (Mpaka wanyongee)
Mdogomdogo (Na ntakupenda sana)
Mdogomdogo (Mahaba ninyongee)
Mdogomdogo (sijali lawama)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu)
 
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje
 
Thanks!
Submitted by ulissescoroaulissescoroa on Thu, 27/02/2020 - 02:07

 

Advertisements
Video
Diamond Platnumz: Top 3
Comments
Read about music throughout history