Advertisements

Foby - Sina Muda

  • Artist: Foby ( Frank Ngumbuchi)
Swahili
A A

Sina Muda

Ooh
Nashangaa kuona anajiliza
Anakuja anatambaa
Magoti chini yanaburuzika
Sikuwaza alivyoniacha kwenye kiza
Mwanaume ni shujaa
Na koti la babu likatumika
 
Your ma number one, mwanga gizani
Hivyo ndo ulikuwa ukinidanganya zamani
Akili yangu Ilikuwaga matopeni
Sielewi ananiswitch tu
Hey maruani, pandisha kichwani
Huyu mtoto nimrudie tuwe kama zamani
Au ni zamu nimwache ateseke
Sielewi sielewi tu
 
Tatizo moyo, moyo ukishararuliwa
Hata waje wagambo police ngumu penzi kurudia
Tatizo roho, roho ikishaga umizwa
Hata lije bomba la upepo haipoi ikipulizwa
 
Ulijua simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple yeeh mama
Sina Muda
Ulijua simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple tu! Mama
Sina Muda
 
Naweza kukusamehe
Cuz I loved you girl, ooh yeah
Kinachonisitisha starehe
And I don't even know
Kama uliacha au laaah yeeh iyeeh
Kama uliacha au laaah
 
Tatizo moyo, moyo ukishararuliwa
Hata waje wagambo police ngumu penzi kurudia
Tatizo roho, roho ikishaga umizwa
Hata lije bomba la upepo haipoi ikipulizwa
 
Simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple yeeh mama
Sina Muda
Ulijua simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple tu! Mama
Sina Muda
 
Ulijua simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple yeeh mama
Sina Muda
Ulijua simple yeeh mama
Yani simple yeeh mama
Ulidhani simple tu! Mama
Sina Muda
 
Ulijua simple tu
Jua simple yeh
Jua simple yehyehyeh
 
Submitted by ulissescoroaulissescoroa on Mon, 02/12/2019 - 22:12
Thanks!

 

Advertisements
Video
Comments
Advertisements
Read about music throughout history