Don Moen - Our Father (Swahili translation)

Swahili translation

Baba Yetu

Sikia maombi yetu
Sisi watoto wako
Tumekusanyika leo
Tumekusanyika kuomba
Sikia kilio chetu,Bwana twahitaji rehema zako
Na twahitaji neema zako leo
Sikia kuomba kwetu
ch:
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe'
Baba yetu tusikie kutoka mbinguni
Tusamehe dhambi zetu tunaomba
Sikia wimbo wetu
Tuinuapo sauti zetu mbinguni
Utukufu wako utawale anga
Kama maji yafunikavyo bahari
Ichunguze mioyo yetu
Na uondoe chochote
Kijiinuacho njiani
Tumekuja kwako leo
ch:
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe'
Baba yetu tusikie kutoka mbinguni
Tusamehe dhambi zetu tunaomba
Ingawa tu wachache
Tumezungukwa na wengi
Ambao wameshavuka mto kabla
Na wimbo huu tutaimba milele
UTUKUFU ni wa BWANA (x8)
Sikia kuomba kwetu
Sisi watoto wako na
Tumekusanyika hapa leo
Tumekusanyika kuomba
Sikia kilio chetu,Bwana tunahitaji rehema zako
Na tunahitaji neema zako leo
Tusikie tuombapo
ch:
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe'
Baba yetu tusikie kutoka mbinguni
Tusamehe dhambi zetu tunaomba
 
Submitted by Glory edwin on Tue, 14/09/2010 - 19:52
English

Our Father

More translations of "Our Father"
See also
Comments