Kusah - Kelele

Advertisements
स्वाहीली
A A

Kelele

Oooh yeah yeah yeah yeah
Oooh yeah yeah yeah yeah
Ooh oooh ooh
 
We umenikaa, umenikaa kwa roho
Nafsi mpaka akili yangu
We dada umenibamba amba mmmh
Oooh darling, alafu tumetokaga mbali mmh
Sioni dalili ya kukuumiza ukalia
Alafu darling, mwenzako nakupenda kweli mmmh
Tufike wawili, sitaki mwingine kwa safari
 
Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga mmmh mmh
Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga mmmh mmmh
Umenishika kichwa, umeninyonga
 
Ila kelele lele, bwana kelele lele
Kelele lele, bwana kelele lele
Oooh kelele lele, bwana kelele lele
Kelele lele, bwana kelele lele
 
Oooh kelele lele (maneno ya kando kando)
Bwana kelele lele (hawanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha baba)
Kelele lele (iye iye iye)
 
[Ruby]
Wale walinidhulumu, nikawapa waka wakaiba
Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba
Baba baba niongezee, nipe vyote nikumbatee
Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate iyee
 
Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga, uuuh
Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga
Umenishika kichwa, umeninyonga
 
Ila kelele lele (maneno ya kando kando)
Bwana kelele lele (hayanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha mama)
Kelele lele (iye iye iye)
 
Oooh kelele lele (maneno ya kando kando)
Bwana kelele lele (hawanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha baba)
Kelele lele (iye iye iye)
 
Maneno ya kando kando
Hayanaga mipango
Yatakwisha mama
(iye iye iye)
 
ulissescoroaulissescoroa द्वारा गुरु, 10/10/2019 - 04:00 को जमा किया गया
धन्यवाद!

 

Advertisements
Video
कमेन्ट