Nandy - Magufuli Tena

  • आर्टिस्ट: Nandy
Advertisements
स्वाहीली
A A

Magufuli Tena

Mwenye huruma
Mkombozi wa watu
Ulisha ukapambania
Hakuna wa kuiba wewe Watanzania
 
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
 
Kaachia wafungwa wenye makosa madogo gerezani
Kaanzisha miradi mikubwa kote nchini ni mzalendo
 
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
Kapandisha bajeti ya dawa
Kutoka bilioni thelathini na moja
Hadi bilioni mia mbili sabini
Masoko ya madini sasa imeongezeka ah-ah-ah
 
Leo vijana elimu ya juu
Wanasoma hawana muda
Wa kuandamana tena
Mikopo inawai
 
Leo vijana elimu ya juu
Wanasoma hawana muda
Wa kuandamana tena
Mikopo inawai
 
Makao makuu Dodoma
Ni ahadi ya miaka arubaini
Leo kaitimiza tena kwa kasi
 
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
Raha, raha tupu
Kuwa na yeye tu raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli
 
Mikopo kwa mama, vijana na walemavu
(Rais Magufuli)
Huduma ya maji ni bwerere pia
(Rais Magufuli)
Kaongeza dhamani ya wakulima
(Rais Magufuli)
Korosho, kahawa, pamba, ufuta, mihogo
Mmmh...
 
Barabara za kisasa
Raha raha tumepata
Ujenzi wa reli pia
Tanzania
 
Majengo ya hospitali Wilaya sitini na saba
Ni Rais Magufuli)
Elimu pia ni bure pia ametoa
(Ni Rais Magufuli)
Na mapato kem kem serikalini
(Ni Rais Magufuli)
Kiongozi mwadilifu anafurahi
Mmm...
 
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
Raha, raha tupu
Na rais Magufuli, raha tupu
 
ulissescoroaulissescoroa द्वारा शुक्र, 08/11/2019 - 02:04 को जमा किया गया
धन्यवाद!

 

Advertisements
Video
Nandy: टॉप 3
कमेन्ट