Vanessa Mdee - Moyo

Advertisements
स्वाहीली
A A

Moyo

Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
 
Zungumza nami mchana (lalala)
Zungumza nami usiku (lalala)
Kama haifai hata ndotoni tu, mhh mhh
 
Usishindane na kichwa (aaah)
Tumalizane yakaisha (aaah)
Moyo nirudishe maisha (aaah)
Mtupu mtupu nimekwisha
 
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea moyo
Moyo unanikosea
 
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea (sasa mbona unanitorture)
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea (sasa mbona unanitorture)
 
Umeniadhibu chozi tiba yangu (we haya)
Umeziharibu zote hisia zangu (si sawa)
 
Moyo mbona umenitoa chambo ooh
Moyo we hunaga chanjo ooh
Moyo umenifanya pango ooh
Moyo huishiwi mipango ooh
Waongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheat nao ni wa kwangu
Walevi wote nao ni wa kwangu
Mbona unajitesa aah
 
Usishindane na kichwa (aaah)
Tumalizane yakaisha (aaah)
Moyo nirudishe maisha (aaah)
Mtupu mtupu nimekwisha
 
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea moyo
Moyo unanikosea
 
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea (sasa mbona unanitorture)
Moyo unanikosea (we moyo)
Moyo unanikosea (sasa mbona unanitorture)
 
We moyo
Sasa mbona unanitorture (mbona unanitorture)
We moyo
Sasa mbona unanitorture (we moyo)
 
धन्यवाद!
thanked 1 time
ulissescoroaulissescoroa द्वारा रवि, 30/06/2019 - 18:02 को जमा किया गया
आख़िरी बार शुक्र, 05/07/2019 - 21:46 को ulissescoroaulissescoroa द्वारा संपादित

 

Advertisements
Video
Vanessa Mdee: टॉप 3
कमेन्ट