First Call - O Sifuni Mungu
Swahili
SilentRebel83
Mar, 25/03/2014 - 04:00
tanyas2882
Gio, 19/03/2015 - 16:52
O Sifuni Mungu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu
Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu
All creatures of our God and King (O sifuni mungu)
Lift up your voice and with us sing (O sifuni mungu)
Thou burning sun with golden beam (imbeni, imbeni)
Thou silver moon with softer gleam (pazeni, sauti, imbeni)
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
All men (Watu wote)
All creatures (Viumbe vyote)
Everybody (Awaye yote)
Praise the Lord (Sifu mungu)
All men (Watu wote)
All creatures (Viumbe vyote)
Everybody (Awaye yote)
Praise the Lord (Sifu mungu)
Thou rushing wind that art so strong (O sifuni mungu)
Ye clouds that sail in heaven along (O sifuni mungu)
Thou rising morn in praise rejoice (imbeni, imbeni)
Ye lights of evening find a voice (Pazeni sauti imbeni)
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the Lord (sifu mungu)
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the Lord (sifu mungu)
Thou flowing water pure and clear (hm,hm,hm,hm)
Make music for thy Lord to hear! (hm,hm,hm,hm)
Thou fire, so masterful and bright (imbeni!)
That givest man both warmth and light (imbeni)
Viumbe vyote vya mungu wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Pazeni sauti
Pazeni sauti
Tusifu mungu
Let all things their Creator bless (O sifuni mungu)
And worship Him in humbleness (O sifuni mungu)
Oh praise the Father, praise the Son (imbeni, imbeni)
And praise the Spirit, three in one (pazeni sauti imbeni)
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the Lord (sifu mungu)
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the Lord (sifu mungu)
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
Tusifu mungu
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
Tusifu mungu,
Tusifu mungu,
Tusifu mungu,
Pazeni sauti na wote imbeni
O sifuni mungu!
Grazie! |
Per favore aiutaci a tradurre “O Sifuni Mungu”
Commenti fatti

the main language used here isn't English. It should be labeled by whatever cool language this is, and then a language tag for English should be added.

Google says - Swahili...
The language is English and... Zulu? or Swahili?