Kenyan Boys Choir - Jambo Bwana

Swahili

Jambo Bwana

Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
 
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
 
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
 
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
 
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
 
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
 
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
 
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)
 
Postato da Pulp Fiction Gio, 06/03/2014 - 13:31
Grazie!

 

Per favore aiutaci a tradurre “Jambo Bwana”
Modi di dire da “Jambo Bwana”
Commenti fatti