Advertisements

Tunagombana (영어 번역)

Swahili
A A

Tunagombana

Rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
 
Kwa nini kwa nini
Kwa nini kwa nini
Tunagombana
 
Rafiki yangu, rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Jana tuligombana, leo tunagombana
Jana tuligombana, leo tunagombana
 
Rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
 
Kwa nini kwa nini
Kwa nini kwa nini
Tunagombana
 
투고자: ulissescoroaulissescoroa, 月, 16/12/2019 - 01:24
영어 번역영어
문단 정렬

We're Bickering

My friend
Do you know why we bicker?
Food cash and carry arms on credit
Food cash and carry arms on credit
 
Why why
Why why
We always bicker
 
My friend
Do you know why we bicker?
Yesterday bickering, today bickering
Yesterday bickering, today bickering
 
My friend
Do you know why we bicker?
Food cash and carry arms on credit
Food cash and carry arms on credit
 
Why why
Why why
We always bicker
 
고마워요!
투고자: ulissescoroaulissescoroa, 月, 16/12/2019 - 01:27
Advertisements
코멘트
Read about music throughout history