Don Moen - Here we are ( Tradução para Suaíli)

Tradução para Suaíli

Tu hapa

Tu hapa, twakunyoshea mikono yetu
Tu hapa, twakutolea shukrani kwa wema wako wote
Tukilisifu na kuabudu jina lako takatifu
U hapa ndani ya sifa zetu
 
Kwa kila ombi ulilojibu
Kwa kuwa daima nasi
Kwa pendo lako littusikizalo mara tuitapo
Kwa mikono yako ituinuayo mara tuangukapo
Oh daima umekuwa hapa kando yetu
Tumefika tulipo (tumefika tulipo)
Kwa sababu yako
 
Rudia Kiitikio
Tu hapa,
 
Kwa siku bado hatujaziona (kwa siku bado hatujaziona)
Kwa yote bado hayajatendeka (Kwa yote bado hayajatendeka)
Majaribio yatakayo tusonga
Tutakapo egemea neema yako
Nguvu zako zituokoe
Pendo lako litupe nguvu
Na kwa hayo yote (hayo yote)
Tutauimba wimbo huu
 
Adicionado por eva Nchogu em Segunda-feira, 26/09/2011 - 16:12
Inglês

Here we are

Mais traduções de "Here we are"
Suaílieva Nchogu
Ver também
Comentários