Russia is waging a disgraceful war on Ukraine. Stand With Ukraine!
Stand Alone ( Tradução para Suaíli)
Tradução para SuaíliSuaíli
A
A
Simame pekee
Upo hapo, unalia tena
Lakini urembo wake huifungii aibu yake
Upo hapo, unatolewa upenzi kweli
Na unapotolewa upenzi kweli, unakupa lawama
Ningeweza kuwa mwenye makosa kama haya
Kwa kufikiri kwamba tungeweza kupendana?
Siku ambazo nimepoteza nawe, mtoto
Ningezihesabu, kungekuwa na milioni moja au mbili
Sasa nasimama pekee kupitia makumbukumbu
Ambayo yananisumbua, yananisumbua
Ndiye natembea pekee kupitia shauku zangu
Ambazo zinanitusha, zinanitusha

Na sasa upo hapo, unalia tena
Lakini urembo wake huifungii aibu yake
Upo hapo, unatolewa upenzi kweli
Na unapotolewa upenzi kweli, unakupa lawama
Obrigado! ❤ | ![]() | ![]() |
✕
Bob Marley & The Wailers: 3 mais populares
1. | No Woman, No Cry |
2. | Is This Love |
3. | One Love |
Comentários
Music Tales
Read about music throughout history