Ruzika Okera - Tunagombana

Publicitate
Swahili
A A

Tunagombana

Rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
 
Kwa nini kwa nini
Kwa nini kwa nini
Tunagombana
 
Rafiki yangu, rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Jana tuligombana, leo tunagombana
Jana tuligombana, leo tunagombana
 
Rafiki yangu je
Unajua kwa nini tunagombana?
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
Chakula taslimu silaha kwa mkopo
 
Kwa nini kwa nini
Kwa nini kwa nini
Tunagombana
 
Mulțumesc!
Postat de ulissescoroaulissescoroa la Luni, 16/12/2019 - 01:24

 

Publicitate
Videoclip
Traduceri ale cântecului "Tunagombana"
Comentarii