Россия ведет позорную войну с Украиной.     Поддержи Украину!
  • Alice Kella

    Awena (Remix)

    Приглашенный артист: Vanessa Mdee, Maua Sama, Ruby (Tanzania), Ibrah
Делиться
Размер шрифта
Оригинал

текст песни Awena (Remix)

Rudi Awena
Rudi mpenzi
Rudi Awena
Rudi mpenzi
Uuh uh uuh ouh
 
Yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah
Oooh ooh ooh
 
Niliapa ukiondoka mpenzi
Nitaondoka nawe (na wewe)
Sikuahidi kukufuta machozi
Bali nitalia nawe
 
Ina maana hata ukiondoka mpenzi kunitazama
Hutaki Awena
Basi kama nina kosa kwako nililofanya
Nieleze Awena
 
Chozi langu la thamani
Naliacha yangu keuee yeah
Tulopanga zamani inamana si chochote en!
 
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Rudisha moyo Awena
 
Iweje penzi langu kwako unalikatisha
Iweje eh (Iweje)
Iweje penzi langu kwako unalikatisha
Inamana tunda langu basi utamu umekwisha baby
 
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu ulihitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Rudisha moyo Awena
 
Nahisi kuna mtu amekubadilisha mawazo
Labda rafiki zako wasiopenda penzi langu
Waeleze kitu ambacho ulihisi ungepata afadhali mpenzi (mpenzi)
 
Utamu wa mapenzi ulonipa chumbani
Huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakutililika mashavuni
Kwamba hutonacha mimi na hutotowekea duniani hii
 
Ukanacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi
Moyo wangu bado unahitaji lako penzi
Ukaniacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi
Moyo wangu bado unahitaji lako penzi
 
Rudi awena (rudi mpenzi)
Rudi mpenzi (rudi Awena)
Rudi awena, rudi mpenzi
 
Labda ungesema mapema kuwa penzi langu ulihitaji Awena
Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Kipenzi changu Awena
Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe
Rudisha moyo Awena
 

 

Комментарии