Above All Powers (превод на Swahili)

Advertisements
енглески

Above All Powers

Above all powers
Above all kings
Above all nature
And all created things
Above all wisdom
And all the ways of man
You were here
Before the world began
 
Above all kingdoms
Above all thrones
Above all wonders
The world has ever known
Above all wealth
And treasures of the earth
There's no way to measure
What You're worth
 
------CHORUS-------
 
Crucified
Laid behind the stone
You lived to die
Rejected and alone
Like the rose
Trampled on the ground
You took the fall
And thought of me
Above all
 
Поставио/ла: flor89 У: Уторак, 02/12/2008 - 15:18
Last edited by Fary on Недеља, 25/02/2018 - 11:17
Align paragraphs
превод на Swahili

Juu ya nguvu zote

Juu ya nguvu zote
Kabla ya wafalme wote
Kabla ya vitu yvote
Na viumbe vyote
Kabla ya hekima yote
Na njia zote za mwanadamu
Ulikuwa hapa
Kabla ya mwanzo wa ulimwengu
 
Wewe ni zaidi ya falme zote
Zaidi ya maajabu yote
Yamewahi kuonwa na walimwengu
U zaidi ya mali yote
Na hazina zote duniani
Hatuna kipimo cha kuonyesha thamani yako
 
------ KIITIKIO -------
 
Ulisulubishwa
Nakukufunikwa kwa jiwe kubwa
Uliishi ili ufe,
Ukakataliwa na kuwachwa upweke
Kama ua lililo kanyagiwa udongoni
Ulikubali kusingiziwa,
Kwa maana ulinidhamini mimi
Zaidi ya vyote.
 
Поставио/ла: eva Nchogu У: Понедељак, 26/09/2011 - 15:25
Коментари аутора:

This translation is personally done. I hope it blesses many.

Коментари
RadixIce    Недеља, 25/02/2018 - 04:59

Due to.merging of the songs, the formatying of the source lyrics has been updated. Please review your translation.