Russia is waging a disgraceful war on Ukraine.     Станите уз Украјину!
  • Do the John Wall → превод на Swahili

Објави
Величина фонта
Превод
Swap languages

Fanyeni John Wall

Yurpie
(Pesa)
Tuifanye mahali popote
Ni nini?
Habari gani, John?
Ha
Tunawahi kuonyesha vijana hivi unafanyaje John Wall
Kila kitu lazima ufanye ni, kuwanyumbia wenyechuki
Na utuangalie kucheza basketi
Ndiyo, tuifanye!
Tupo mjini tunapopenda kufanya dansi
Nyumbie kushoto, rushe mali nje ya mikono yake
Ifanye kwa mji wako na tunaifanya kwa mashabiki
Kwa kucheza kama Wall lazima ufanye dansi
Kila mtu fanye John Wall, John Wall, John Wall
John Wall, John Wall, John Wall, John Wall, John Wall (ndiyo)
Kila mtu ondoke, unipe jiwe
Wakati unaisha, sekunde tatu kwenye saa ya kupiga mpira
Navunja ulinzi, kijana, siwezi kuachwa
Kila kitu ni kuhusu mali, unajua kwamba napiga mashuti ya benki
Najaribu kuwasema, kijana, huwezi kunilinda
Mnyama kwenye koti, kijana, nacheza kali zaidi
Shuti la kuruka ni pumbavu, ndiyo ni ya akili taahira
Huwezi kunilinda, katika rangi mimi ni msanii
Niangalie kulaghai katika koti, niite Rick Ross
Unaona Troop, tuiweka kuruka kama tip-off
Nacheza kali mpaka namsikia mwamuzi anapiga filimbi
Mimi ni mchezaji, lakini mchezo wangu ni ya rasmi sana
Sifikii, lazima kubaki nje ya matatizo
Lakini naendesha kwenye kijia, nawaweka kwenye matatizo
Hawawezi kusuluhisha mchezo wangu, mimi ni fumbo kali
Lakini naweka "dime" tatu, ni mara tatu mara mbili
Tupo mji wako tunapopenda kucheza dansi
Nyumbie kushoto, rushe mali nje ya mikono yake
Ifanye kwa mji wako na tunaifanya kwa mashabiki
Kwa kucheza kama Wall lazima ufanye dansi
Kila mtu fanye John Wall, John Wall, John Wall
John Wall, John Wall, John Wall, John Wall, John Wall (ndiyo)
Tupo wagonjwa nai
Nalighai kwa jiwe, naendaenda kwa kulipata
Nipo kwa kushinda, 919, kijana tunaiwakilisha
Na silindi mpira, tuna timu zima
Unachenga tu, huna moyo kwa kukamilisha
Huwezi kuniweka nje ya mchezo, nipo kutoka mwanzo mpaka mwisho
Na kama siwezi kuendesha katika kijia, amini kwamba nitalipitisha
Nateleza kwa kumbaa msitari ya ziada, nateleza msitarini pa msingi
Nawahi kufanya slam kubwa, niwahi katika inchi hizo
Natoka mpango wa kusini
Matarajio kwetu ni kwamba hatutajiboresha
Lakini tunawakanusha, tunanyambua kwamba sisi ni wanaume wa joto
Tunaleta hayati kwenye mchezo, hatutakufa, ha, ndiyo
Simame refu, ndiyo, unamwita Ukuta mkubwa
Kila kitu ninachofanya ni kucheza basketi, nasimama, naweza kuanguka
Naona njaa kwa kukuza, iite wakati wa chakula cha mchana
Shuti kwa kushinda katika mchezo, ndiyo, ni wakati kwa kuwahi
Tupo mjini tunapopenda kufanya dansi
Nyumbie kushoto, rushe mali nje ya mikono yake
Ifanye kwa mji wako na tunaifanya kwa mashabiki
Kwa kucheza kama Wall lazima ufanye dansi
Kila mtu fanye John Wall, John Wall, John Wall
John Wall, John Wall, John Wall, John Wall, John Wall (ndiyo)
Tuifanye!
Ndiyo, tunacheza basketi, mpaka tutaanguka
Mpaka sekundi ya mwisho nadhani kwamba tutakuwa tukipigana
Kwa sababu Kentucky lipo kwa kushinda, siyo kwa kuwaangalia kucheza
Dunia mzima wanacheza dansi, semeni "habari gani, NBA"
Lazima umtoe nje ya mchezo, kwa sababu wanasema kwamba ana wazimu
Anapokuja kwenda kijia, anajaribu kuwahi bang bang
Kwanza, tunanyumba, tunaionyesha musuli na tunaJIGG kwao
Kwa mchezo mdogo, tunaacha binamu kukuza kwao
Hushughulikia kitu, nawahi kuwahi mwibo kwao
Pitishe mpira nuktani, crossover na bado nipo
Umati ni ndizi, unajua kwamba ni kwa hiyo tunawamenya
Na tunatoka "R", hakuna kitu kama kuwa halisi kwao
Shuti ya kuruka ni ya kifisha, unajua kwamba tunachinja kwao
Wakati wa kuwahi mpira wa mali, tunawahi kupiga bili kwao
Ndiyo, paka wa Kaskazini, tutawaonyesha kuifanyaje
Cheze John Wall, ni rahisi sana
Tupo mjini tunapopenda kufanya dansi
Nyumbie kushoto, rushe mali nje ya mikono yake
Ifanye kwa mji na tunaifanya kwa mashabiki
Kwa kucheza kama Wall lazima ufanye dansi
Kila mtu fanye John Wall, John Wall, John Wall
John Wall, John Wall, John Wall, John Wall, John Wall (ndiyo)
 
Оригинални текстови

Do the John Wall

Кликните да видите оригиналне текстове (енглески)

Идиоми из "Do the John Wall"
Коментари