Favoriten
Teilen
Font Size
Originaltext
6 Übersetzungen

Jambo Bwana Liedtext

Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
 
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
 
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
 
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
 
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
 
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
 
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
 
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)
 

 

Bitte hilf mit, „Jambo Bwana“ zu übersetzen
Kommentare