• Zuchu

    English translation

Share
Font Size
Swahili
Original lyrics

Sukari

Eyoo Trone
(Iyo Lizer)
 
Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza (chombeza)
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza (koleza)
 
Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza (ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza
 
Ikipanda ni balaa (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asijepata madhara (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
 
Ladha yake msala (naogopa)
Shira ya Kizanzibari (naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
 
Aii sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
 
Sukari (nampatia)
Sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
 
Yelele, yelele...
 
Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi
 
Baba chanja, baba chanja eh (eeeh)
Chukua vyote chukua (eeeh)
Vitafune nganja nganja (eeeh)
Chagua mwaya chagua (kula)
 
Ujiboosti na karanga ee (eeeh)
Tuliza na kitumbua (eeeh)
Jihadhari na majanga wee
Usije ukaugua maana
 
Ikipanda ni balaa (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asijepata madhara (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
 
Ladha yake msala (naogopa)
Shira ya Kizanzibari (naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
 
Aii sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
 
Sukari (nampatia)
Sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
 
Nimroge kwanini kashaninogea
Dambua, dambua
Utamu wa sukari ni tamu kolea
Dambua, dambua
 
I say my boo dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Halua halua (dambua)
We dambua (dambua)
 
Nasema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Nawa kama unafua (dambua)
Kiguru nyanyua (dambua)
 
English
Translation

Sugar

Eyoo Trone
(Iyo Lizer)
 
Suppose I give him a taste
He tells me sweetness (sweetness)
When I give him some more
He keeps asking for more (some more)
 
When I feel like he has had enough
He keeps asking for more (some more)
Clearly it's not a secret
It will destroy him
 
If it's too much it's disastrous (I'm afraid)
When it's less it's dangerous (I'm afraid)
I wouldn't want to cause him harm (I'm afraid)
When he yearns and doesn't get it (I'm afraid)
 
Cause it might be too much for him (I'm afraid)
The taste of Zanzibar (I'm afraid)
He gets it when he wants it
 
Ai su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
Su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
 
Su-ka-ri (I give him)
Sugar, sukari (I give him)
Su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
 
Yelele, yelele...
 
And when he's hungry
I don't lazy around
I fill the jar
I fill it with ginger, eh
 
Daddy chop it, daddy chop it (eeeh)
Take it all, take it all (have it)
Chew and keep on going (eeeh)
Do whatever you desire (have it)
 
Boost yourself with groundnuts (eeeh)
Take it easy, have a snack (have it)
Beware it might be disastrous
You may suffer
 
If it's too much it's disastrous (I'm afraid)
When it's less it's dangerous (I'm afraid)
I wouldn't want to cause him harm (I'm afraid)
When he yearns and doesn't get it (I'm afraid)
 
Cause it might be too much for him (I'm afraid)
The taste of Zanzibar (I'm afraid)
He gets it when he wants it
 
Ai su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
Su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
 
Su-ka-ri (I give him)
Sugar, sukari (I give him)
Su-ka-ri (I give him)
Ah sugar, sukari (I give him)
 
Why bewitch him, yet he's already deep in love
Whine, whine!
Taste the sweetness of sugar
Whine, whine!
 
I say my boo, whine! (whine)
Just whine (whine)
Halua, halua (whine)
You just whine (whine)
 
I say just whine it (whine)
Just whine (whine)
Bend as if you are washing clothes (whine)
Raise your leg and whine (whine)
 
Comments