• Aashiqui 2 (OST)

    Swahili translation

Share
Font Size
Proofreading requested
Hindi
Original lyrics

तुम ही हो

हम तेरे बिन अब रह नहीं सकते
तेरे बिना क्या वजूद मेरा?
हम तेरे बिन अब रह नहीं सकते
तेरे बिना क्या वजूद मेरा?
 
तुझ से जुदा अगर हो जाएंगे
तो ख़ुद से ही हो जायेंगे जुदा
 
क्यूंकि तुम ही हो, अब तुम ही हो
ज़िंदगी अब तुम ही हो
चैन भी, मेरा दर्द भी
मेरी आशिक़ी अब तुम ही हो
 
तेरा मेरा रिश्ता है कैसा?
इक पल दूर गवरा नहीं
तेरे लिए हर रोज़ हैं जीते
तुझको दिया मेरा वक़्त सभी
 
कोई लम्हा मेरा ना हो तेरे बिना
हर साँस पे नाम तेरा
 
क्यूंकि तुम ही हो, अब तुम ही हो
ज़िंदगी अब तुम ही हो
चैन भी, मेरा दर्द भी
मेरी आशिक़ी अब तुम ही हो
 
(तुम ही हो)
(तुम ही हो)
 
तेरे लिये ही जिया मैं
ख़ुद को जो यूँ दे दिया है
तेरी वफ़ा ने मुझको सँभाला
सारे ग़मों को दिल से निकाला
 
तेरे साथ मेरा है नसीब जुड़ा
तुझे पा के अधूरा ना रहा
 
क्यूंकि तुम ही हो, अब तुम ही हो
ज़िंदगी अब तुम ही हो
चैन भी, मेरा दर्द भी
मेरी आशिक़ी अब तुम ही हो
 
क्यूंकि तुम ही हो, अब तुम ही हो
ज़िंदगी अब तुम ही हो
चैन भी, मेरा दर्द भी
मेरी आशिक़ी अब तुम ही हो
 
Swahili
Translation

Aashiqui

Siwezi kuishi sasa bila wewe
Bila wewe, nifanyeje — ni nani mimi?
Siwezi kuishi sasa bila wewe
Bila wewe, nifanyeje — ni nani mimi?
 
Kama nikitengana nawe
Nitakuwa hata mbali na nafsi yangu mwenyewe
 
Kwa maana ni wewe tu, sasa ni wewe tu
Maisha sasa ni wewe tu
Amani yangu, maumivu yangu pia
Mapenzi yangu sasa ni wewe tu
 
Uhusiano wetu ni wa aje?
Siwezi kuvumilia hata dakika moja kuwa mbali
Kila siku ninaishi kwa ajili yako
Nimekupa muda wangu wote
 
Hakuna wakati wangu uwe bila wewe
Kila pumzi jina lako limeandikwa
 
Kwa maana ni wewe tu, sasa ni wewe tu
Maisha sasa ni wewe tu
Amani yangu, maumivu yangu pia
Mapenzi yangu sasa ni wewe tu
 
(Wewe tu)
(Wewe tu)
 
Kwa ajili yako nimeishi
Nimejitoa mwenyewe hivi
Uaminifu wako umenilea
Umeondoa huzuni zote moyoni
 
Nasiwahi kutengana kwa bahati
Hatima yangu imeunganishwa nawe
Nimekamilika nilipokupata
 
Kwa maana ni wewe tu, sasa ni wewe tu
Maisha sasa ni wewe tu
Amani yangu, maumivu yangu pia
Mapenzi yangu sasa ni wewe tu
 
Kwa maana ni wewe tu, sasa ni wewe tu
Maisha sasa ni wewe tu
Amani yangu, maumivu yangu pia
Mapenzi yangu sasa ni wewe tu
 
The author of translation requested proofreading.
It means that he/she will be happy to receive corrections, suggestions etc about the translation.
If you are proficient in both languages of the language pair, you are welcome to leave your comments.
Comments